Baadhi ya Wananchi wakitembea kwa miguu kufuatia foleni kubwa
Msongamano mkubwa wa magari katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
Foleni katika jiji la Dares salaam.
Ni kila Siku kuanzia asubuhi hadi jioni mji wa Dares salaam
umekumbwa na foleni kubwa kitu kinasababisha wananchi kushindwa
kufanikisha shughuli zao kwa muda muafaka.
Barabara mbalimbali za jiji la Dares salaam muda mwingi hazipitiki. Kwa
wale wanaokwenda katikati ya mji katika maeneo kama Posta nako foleni ni
kubwa sana. Chanzo cha foleni ni kufungwa barabara ya Moroko. Baadhi ya
wananchi hulazimika kushuka kwenye dala dala na kuamua kutembea kwa
miguu.
No comments:
Post a Comment