NA DIWAMI WA KATA MAVURUZA BWANA PASCAL MACHONA AKITULIZWA NA MBUNGE WA KINONDONI IDD AZADI BAADA YA KUTOKEA FUJAO KWA KAULI ALIYOITOA NAIBU WAZIRI KWA WAFUASI WA CHADEMA KUKAMATWE NA POLISI WAKATI WAKIIMBA UWANJANI HAPO.
JOHN MNYIKA AKIWA AMEBEBWA NA WAFUASI WA CHAMA NA WANANCHI WA JIMBO LAKE
No comments:
Post a Comment