Wednesday, 17 December 2014

Wema Atoa FACT 5 Za Ukweli Kuhusu Zamaradi Mtetema

VIJIMAMBO: Wema Atoa FACT 5 Za Ukweli Kuhusu Zamaradi Mtetema
  • VIJIMAMBO: Wema Atoa FACT 5 Za Ukweli Kuhusu Zamaradi Mtetema 1
Mara baada ya mtayarishaji na mtangazaji wa kipindi cha maswala filamu nichini cha TAKE ONE, Zamaradi Mtetema kuweka bandiko mtandaoni, akiwatata mashabiki na wapenzi wake, wataje mambo matano ambayo niyaukweli kuhusu yeye Zamaradi kwa jinsi wanavyomuona na atatoa zawadi kwa yule atakae patia.
Bandiko lilisema;
"If someone managed kunitajia hata FACT 5 about me za ukweli kulingana na unavyoniona... nna zawadi yako kubwa and I AM SERIOUS.... Unahisi nikoje!!? only 5 facts then ntasema nani kapatia plus mentioning my other ones... okay legooooo "
Baada ya watu kadhaa kujitokeza na kuanza kuzitaja, Muigizaji Wema Sepetu nae akaibuka na kuzitaja hizi; Unajipenda sana, Unampenda sana mwanao,Unapenda kupendeza,short tempered, na unapenda kupendwa.
Hata hivyo Zamaradi aliibuka na kumwambia Wema kiutani kuwa asijisumbue kwani zawadi hawezi kupewa.
Hivi nivijimambo tuu!!!.

No comments:

Post a Comment