Tunaomba radhi kwa picha hizi
habari hii kwa hisani ya mtandao wa princemedia
Mwili wa marehemu Edga Milinga ukiwa umewekwa kwenye gari la polisi. |
Mandhari ya kituo cha polisi kilichovamiwa na majambazi usiku wa kuamkia leo. |
Habari zilizotawala katika mitandao ya kijamii na vyombo vya habari ni kwamba mnamo usiku wa kuamkia leo majira ya saa nane za usiku Majambazi wasiojulikana idadi walivamia kituo cha polisi Ikwiriri na kuwauwa askari polisi wawili waliokuwa zamu ambao ni askari mwenye namba E.8732 CPL Edga Milinga na WP 5558 PC Judith Timoth.
No comments:
Post a Comment