Mke wa mmiliki wa Hotel ya Aquiline Hotel iliyopo Arusha maeneo ya Stend, amefariki hapo hapo yeye na wifi yake baada ya kupata ajali mbaya ya gari maeneo ya kikatiti.
Watu waliofika eneo la tukio wanasema walikupa chupa za pombe aina ya konyagi ndani ya gari wakati wanawanasua.
(1).Kifo cha mwanadamu ni wakati wowote, yafaa tuishi maisha ya kujiandaa na maisha baada ya kufa.
(2).Tuepuke tabia ya kuendesha magari tungali tumelewa au tumechoka.
habari hii kwa niaba ya mtandao na picha
No comments:
Post a Comment