Monday, 12 January 2015

RAIS KIKWETE KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 51 YA MAPINDUZI ZANZIBAR


unnamed1Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa wakati wa maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya  Mapinduzi  Zanzibar zilizofanyika kwenye uwanja wa Amani, Katikati ni mama Fatma Karume na Waziri Mkuu mstaafu Salim Ahmed Salim (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed2Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad katikati ni Waziri Kiongozi Mstaafu wa Zanzibar Mh. Shamsi Vuai Nahodha.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed3Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana  na Rais Mstaafu Mzee Ali Hassani Mwinyi.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed4Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete  akizungumza na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa maadhimisho hayo mjini Zanzibar leo. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed5Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed6Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh.Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mh. Dr. Ali Mohammed Shein.(Picha na Freddy Maro wa Ikulu)unnamed1hRais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi wakati alipowasili katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika kilele cha Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo,[Picha na Ikulu.}unnamed2hRais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama leo wakati wa  Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar akifuatana na Paredi Kamanda Luteni kanali Mohamed Khamis Adam katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja ,[Picha na Ikulu.}unnamed4hWananchi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakimasikiliza Rais wa Zanzibarna Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika kilele hicho Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.}unnamed7hRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika leo katikauwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.}

No comments:

Post a Comment