Katika kile kinachoonekana ni kuibua
uozo na uchafu wa ofisi ya waziri mwenye dhamana na uchaguzi wa serikali
za mitaa, Chama cha ADC kimemwaga mboga baada ya kuweka hadharani
mipango ya siri ambayo wadau wa siasa na msajiri wa vyama vya siasa hapa
nchini na waziri mwenyedhamana walikubaliana huko mjini Morogoro,
Akizungumza na mtandao huu katika
mahojianao maalum, hivi karibuni mwenyekiti wa chama hicho Bw. Siadi
Miraji Abdallah, amesema liwalo na liwe lakini ukweli lazima usemwe ili
wakati vyamapinzani vitakapoanguka katika uchaguzi wa mitaa asitafutwe
mchawi nani,
Miraji ameweka wazi kuwa moja ya hoja
ambayo ilikuwa na mvutano mkubwa huko Morogoro wakati wa kikao chao na
waziri mwenye dhamana ni kuhusu kanuni za kupiga kura kwa serikali za
mitaa ambazo zilionekana kuwa ni uwozo mkubwa ambao umelenga kuisaidia
chama cha CCM kushinda katika chaguzi hizo,
Kanuni ya chaguzi ya serikali ya mtaa
imejaa ubabaishaji ambapo kwa vyovyote vile atakaeumia ni vyama vya
upinzania ambazo wapiga kura wake wataonekana kama wakimbizi katika
TAifa lao.
KANUNI INATAMKA WAZI KUWA MWENYE HAKI YA KUPIGA KURA NI MKAAZI WA KAWAIDA:
Hapa kwenye ukaazi wa kawaida ndipo
kimbembe kilipo ambapo kanuni haisemi huyu mkaazi wa kawaida ni makazi
wa muda gani???? je ni mwaka, miaka, miezi siku wiki ama masaa.
Huyu mkazi wa kawaida anathibitishwa na nani??,
Maswali hayo ndiyo yatakayodhalisha watu
kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine kwa hoja kwamba ni mkaazi wa
kawaida, CCM wanafahamu wazi kuwa kufanya hivyo kutawasaidia kupata watu
wao wanaowataka na huku wakiwakataza watu kupiga kura kwa kipengele
hiko kuwa si waakazi wa kawaida,
Daftari lennyewe la kuandikisha wapiga
kura nalo linamatatizo kibao ambapo kwa sauti moja wadau wa mkutano huo
mjini Morogoro walikubaliana kuahirisha uchaguzi wa mwaka huu ili
upangiwe wakati ambapo watu watajiandaa kufanya chaguzi hizo za mitaa,
Kwa kanu hiii, Mweneyekiti huyo wa Adc amekiri kuiona vurugu kubwa ambayo itaibuka huku wa kuzuia vurugu hiyo asiwepo,
Hapo ndipo Abdallah akakili kuwa ni wazi
mchakato u,meharakishwa ni kama wa zimamoto huku wachezaji wake
hajajiandaa kupigana vizuri na hapo ndipo CCM itakapiga magoli ya mbali
na kuibuka washindi wa jumla katika mpambambano huo.
SAKATA LA UKAWA KUUNGANAASEMA NI DANGANYA TOTO,
Aidha katika hatua Nyingine mwenyekiti
huyo hakusita kusemakuuzungumzia mashirikiano ya hivi karibuni kati ya
chama cha CHADEMA, CUF, NCCR na vingine vyo kuwa ni danganya Toto kwani
si rahis kwa CUF kumuachia Chadema kushika nchi huko Zanzibar,
Aidha Abdala ameenda mbele zaidi na
kusema si ajabu kuuna watu hao wakiungana kwani mpaka sasa tayari
washaungana mara ya sita na hakuna muungano ambao umedumu kwa muda mrefu
bila misukosuko
Sisi Adc tunaamini kuwa muungano ni njia
nzuri ya kumuondoa adui lakini ni lazima mpange namna ya kufanya
mashirikiano hayo, sio leo mnaungana alafu mnaonyesha dhana zenu na
namna ya kuiondoa ccm, hivyo sio njia nzuri kwani CCM watajipanga na
kushinda pambano mapema, kwa tafsiri nyingine ukawa wamewahi sana
kuungana, wangesubiri baadae ndipo waungane tena kwa kuwashirikisha
wanachama wao
Mimi nashangaa vyama vya siasa hapa
Tnaznaia vinakaa kuangalia kipanzi katika jicho la mwenzake kumbe yeye
ana bolt, wanasema muungano kati ya Tanganyika na Zanziba si wa wananchi
ni wa viongozi mbona sasa wao wanafanya muungao wa kiungozi na si wa
wananchi, kama tunawapa nchi hawa si watauza watu wote humu aliongeza
Abdalal,
Chama ambacho kinaamini mamalaka ya wanachama kingeweza kukaa na wanachama wake ndipo wangeamua kuingia katika makubalianao,
Aidha alipoulizwa kama yeye ataungana na
vyma sitta ambavyo vimeungana hivi karibuni kuwashinda UKAWA NA CCM,
ametoa jibu moja tu kwamba hajashirikishwa katika kila hatua. Anaamini
No comments:
Post a Comment