Mkurugenzi
wa Ajira toka Wizara ya kazi na Ajira Bw.Ally Msaki akiongea na
waandishi wa habari kuhusu kasi ya uzalishaji wa nafasi za ajira nchini
ambapo katika kipindi cha miezi 3 kuanzia Julai hadi Septemba 2014 jumla
ya ajira 139,361 zimezalishwa. Kushoto ni Msemaji wa Wizara hiyo
Ridhiwani Wema.
Msemaji
wa Wizara ya Kazi na Ajira Bw. Ridhiwani Wema akiwaeleza waandishi wa
habari (hawapo pichani) kuhusu mikakati ya Serikali kuendelea kuweka
mazingira wezeshi ya waajiri kuongeza fursa za ajira hapa nchini.kushoto
ni Afisa Kazi Mkuu Bi Amina Likungwala.(Picha na Frank Mvungi)(Martha Magessa)
No comments:
Post a Comment