-a.Mkuu wa Kitengo cha Biashara Kampuni inayotengeneza madawa ya mifugo na chanjo MCI SANTE ANIMALE,Dr Baptiste Dungu (kushoto), akisaini makubaliano na Mtafiti Mkuu wa Kitivo cha Tiba ya Mifugo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA,Profesa Philemon Wambura ( kulia),kumia matokeo ya utafiti kudhibiti ugonjwa ndui kuku(Fowl Pox).hafla hiyo ya makubaliano ilifanyika Makao Makuu ya Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Juni 23,2014 jijini Dar es Salaam na nyuma, kulia ni Mkurugenzi wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dk. Hassan Mshind
Mkuu wa Kitengo cha Biashara Kampuni inayotengeneza madawa ya mifugo MCI SANTE ANIMALE,Dr Baptiste Dungu (kushoto),akimkabidhi nyaraka ya makubaliano mara baada ya kusaini kwa Mtafiti Mkuu wa Kitivo cha Tiba ya Mifugo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA,Profesa Philemon Wambura.Mtafiti Mkuu wa Kitivo cha Tiba ya Mifugo Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo SUA,Profesa Philemon Wambura.akifafanua kwa waandishi wa habari kuhusina na chanjo hiyo ambapo amesema makubaliano hayo yatazalisha chanjo kwa wingi na kusambazwa Afrika nzima ikiwemo Tanzania.
No comments:
Post a Comment