Monday, 16 June 2014

TANZANIA DAIMA KIKAANGONI JUU YA MALALAMIKO KUTOKA WIZARA YA NISHATI NA MADINI

WIZARA YA NISHATI NA MADINI IMESEMA ITAIFIKISHA MAHAKAMANI GAZETI LA TANZANIA DAIMA KAMA ISIPOTOA CHAPISHO LA KULIOMBA RADHI KUTOKANA NA CHAPISHO LA HABARI INAYOCHAFUA WIZARA HIYO

GAZETI HIRO MNAMO MEI 23 ILICHAPISHA HABARI INAYO HUTUUMU WAZARA IYO KUWA ILIPOKEA RUSHWA KATIKA MOJA YA MAKONGAMANO WARIYO YAANDAA KWAAJILI YA UEREWA WA UWEKEZAJI KWA VIONGOZI WA DINI
BAADA YA KUSIKILIZWA PANDE MBILI ZILIZOWAKILISHWA NA ENG PAUL MASANJA AMBAE NI KAMISHINA WA MADINI NA BWANA EDSON KAMUKALA AMBAE NI MHARIRI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA KAMATI YA MAADILI YA BARAZA LA HABARI TANZANIA  MCT  IMEONA YAFATAYO 

1.......KAMATI YA MAADILI IMEBAINI MAPUNGUFU MAKUBWA KATIKA HABARI INAYO LALAMIKIWA KUTOKANA NA HABARI KUEGEMEA KATIKA UVUMI BADARA YA UKWELI ULIOSIBITISHWA
2.......KAMATI YA MAADILI IMEBAINI KWAMBA UPANDE WA MLALAMIKAJI ULIPEWA FULSA YA KUJIBI NA ULIITUMIA
3..............KAMATI YA MAADILI IMEBAINI KWAMBA MAONI MENGINE YAMEINGIZWA MDANII YA HABARI KINYUME CHA KANUNII ZA UANDISHI WA  BABARI BORA

KAMATI YA MAADILI IMEAGIZA HAYA.........
1......GAZETI LA TANZANIA DAIMA LIOMBE RADHI KURASA WA TATU NDANI YA SIKU SABA TANGIA TAREHE YA UAMUZI
 
2.......GAZETI LIFANYE MAJADILIANO NA WIZARA KUHUSU MASUALA YA YALIYOANDIKWA KATIKA HABARI IN AYOLALAMIKIWA PAMOJA NA MASUALA MENGINE

USHAURI WA MCT
1....KAMATI YA MAADILI INAZISHAURI WIZARA NA TAASISI NYINGINE ZA UMMA KUJENGA MAZINGIRA MAZURI YA USHIRIKIANO WA KIKAZI BAINA YAO NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI
2........KAMATI YA MAADILI INAWAKUMBUSHA WAHARIRI PAMOJA WAANDISHI KUEPUKA KUCHAPISHA UVUMI NA KUJITAHIDI KUJENGA UWEZO WA UANDISHI WA HABARI ZA UCHUNGUZI INVESTIGATIVE JOUNALISM NDANI YA VYUMBA VYA HABARI
3.....KAMATI YA MAADILI INAWASHAURI WAHARIRI KUEPUKA HABARI AMBAZO HAZIJAKAMILIKA



BAADA YA TAMKO HILO KUTOKA KWA BARAZA LA HABARI TANZANIA WIZARA YA NISHATI NA MADINI ILIKATAA KUKUBALIANA NA SHAURI HILO LA MCT NA KUAMUA KUIAENDELEZA KESI HIYO MBELE YA MAHAKAMA ILI IWEZE KUTAFUTA HAKI YAO KWA KUITAKA GAZETI HILO KULIPA FAINI YA BILIONI MBILI NA KUISAHIHISHA  STORY IWEKWE MBELE YA GAZETI HIL

No comments:

Post a Comment