Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Gilita Mlong’ose wakati alipotembelea Hospitali ya Mvumi wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Bibi huyo alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa walipfika hospitalini hapo kutibiwa macho. Kushoto ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisiya Waziri MkuuWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Bibi Gilita Mlong’ose wakati alipotembelea Hospitali ya Mvumi wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Bibi huyo alikuwa ni miongoni mwa wagonjwa walipfika hospitalini hapo kutibiwa macho. Kushoto ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisiya Waziri MkuuWaziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mkuki kutoka kutoka kwa mwenyekiti waCCM wa Tawi la Ilolo wilayani Chamwino akiwa katika ziara ya wilaya hiyo mkoani Dodoma Juni 7, 2014. Katikati ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment