Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Ghalib Bilal
kulia akifuatilia burudani zilizokuwa zikitolewa wakati wa Uzinduzi wa
Kongamano la Confucius Barani Afrika jana jijini Dar es Salaam, kushoto
ni Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa
China Li Yuanchao. Wanafunzi
wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam wakitoa burudani
katika uzinnduzi huo kwa kuimba nyimbokwa lugha ya kichina. Baadhi
ya wageni wakifuatilia kwa makini burudani mbalimbali zilizokuwa
zikitolewa wakati wa Uzinduzi wa Kongamano la Confucius Barani Afrika
jana jijini Dar es Salaam Mgeni
rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akioneshwa
machapisho mbalimbali yanayohusu Utamaduni wa watu wa China. Mgeni
rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao na Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Ghalib Bilal
wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa wakati wa
Uzinduzi wa Kongamano la Confucius Barani Afrika jana jijini Dar es
Salaam. FMakamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akisalimiana na Mke wa
Baba wa Taifa mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake
jana ikiwa ni sehemu ya ziara yake nchini Tanzania. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akimkabidhi zawadi Mama
Maria Nyerere jana wakati alipomtembelea nyumbani kwake Msasani.
Mama Nyerere. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Nyerere. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Ghalib Bilal kushoto na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakimwaga mchanga kwenye jiwe la msingi mahali ambapo ubalozi wa China unatarajiwa kujengwa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Ghalib Bilal na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Li Yuanchao wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakandarasi wa mradi huo wa ujenzi wa Ubalozi wa China nchini Tanzania. Burudani zikiendelea wakati wa kuweka jiwe la msingi mahali ambapo ubalozi wa China unatarajiwa kujengwa mapema jana jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Eliphace Marwa – MAELEZO

No comments:
Post a Comment