Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na madiwani kutoka jimbo la Mkuranga
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 24, 2014. Madiwani hao
walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Adam Malima ambaye pia ni
Naibu Waziri wa Fedha.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema,
Bungeni mjini Dodoma Juni 25, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment