MKUTANO WA JUMUIYA YA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU VYAFANYA MKUTANO LEO MSIMBAZI CENTER JIJINI DAR ES SALAAM
MABERE MARANDO kiongozi wa chadema ndiye mgeni rasmi hapa muda huu anatoa neno lake kwa wasomi hao,kubwa zaidi ambalo anasisitiza hapa ni juu ya kuhakikisha wanaiondoa CCM madarakani
No comments:
Post a Comment